Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

AUDIO: Baraka ajiita Magufuli

Jumanne , 19th Sep , 2017

Msanii Baraka The Prince amesema yeye ni sawa na Rais Magufuli kwenye game ya bongo fleva, kwa kuwa na misimamo na itikadi ambazo wengi hawazipendi.

Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Baraka amesema misimamo yake na jinsi ambavyo hapendi kuona anaonewa, ndio sababu ya watu kutomkubali na ndio sababu ya kuhama hama kwenye uongozi.

Baraka amesema siku zote mtu ukiwa na mitizama na misimamo yako, lazima watu watakuona mbaya, huku akimtolea mfano Rais Magufuli jinsi alivyo na misimamo katika harakati zake za kutetea wanyonge, kitendo ambacho kinapingwa na baadhi ya watu wengi.

Msikilize hapa chii

HABARI ZAIDI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa January Makamba

Ziara ya Rais Samia Korea kuanza rasmi Mei 31 2024

Bw. Nazar Nicholas (katikati) akikabiziwa tuzo ya WSIS 2024

Tanzania yashinda Tuzo WSIS 2024, nchini Uswisi

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20