Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Barakah adai hamfikii Nay wa Mitego kwa matusi

Jumatatu , 2nd Dec , 2019

Kupitia EATV & EA Radio Digital, msanii Baraka The Prince amesema kuna wasanii wengi wanaotukana sana akiwemo Nay wa Mitego, lakini pia kuna wengine wana matusi mabaya kuliko hata yeye.

Kushoto ni Baraka The Prince, kulia ni Nay Wa Mitego.

Baraka The Prince amesema hayo baada ya kutajwa na mashabiki kama ndiyo msanii, anayeongoza kutukana watu katika mtandao wa Instagram, ambapo amesema mara nyingi hufanya hivyo ikitokea mtu amemkera.

"Mlishakariri hivyo kama ni Baraka tu kuna wengine hata hamuwafuatilii, wanatukana na wana matusi mabaya kuliko mimi, mimi namfikia Nay Wa Mitego kutukana, pia kuna muda wasanii kibao wanatukana lakini likitokeaga kwangu hata kama ni moja watu wanalichukua" ameeleza Baraka The Prince.

Aidha msanii huyo ameendelea kusema "Mimi siyo kama nashindwa kuizuia mihemko yangu ila naishi ndani ya hisia zangu kwa sababu zinafanya niwe huru na amani, ukinikera nakuchana, hutakiwi kukaa na kinyongo mtu akizingua pita naye na kama matusi yatafanya hata tusiheshimiane ni sawa tutakwenda hivyo" ameongeza.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto