Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Christian Bella aweka wazi kuhusu kuoa

Jumanne , 5th Mar , 2019

Msanii wa Bongofleva Christian Bella ameongea kwa mara ya kwanza kuhusu picha zilizosambaa mitandaoni zikimuonyesha akiwa kwenye shughuli ya kufunga ndoa na kusema anaacha watu watafsiri walichokiona kwenye picha na si vinginevyo.

Christian Bella katika moja ya picha zilizozua mijadala mtandaoni.

Akiongea kwenye eNewz, Christian Bella amesema kitu walichokiona watu kama wameona ni ndoa basi ni ndoa na kama wameona ni video ya nyimbo basi waendelee kuona hivyo lakini  Bella hakutaka kuweka wazi kwamba ni kweli ameoa au laa pamoja na kushindwa pia kukanusha taarifa hizo.

"Mwaka 2019 ni mwaka wa kuoa na kuolewa wasanii wengi wamefunga ndoa, hivyo sio ajabu na sio vibaya mtu kuamua kufunga ndoa kwa maana mtu huwezi tu kakaa kama bachela muda wote andapo umri wako unakuwa umeruhusu kuwa mume wa mtu ikifika wakati muafaka nitawaambia ila kwa sasa wao waone picha na waichukulie poa kama ilivyo", Aliongea Christian Bella.

Pia Christian Bella amemalizia kwa kusema kwa sasa hana mpango wa kuachia nyimbo mpya kwani bado anajipanga kutokana na kile anachokisema kwamba anafanya 'show' nyingi kuliko wasanii wote hapa bongo hivyo hana haraka na kutoa nyimbo.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa