Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Fahamu ratiba kamili ya msiba wa mdogo wa Kanumba

Jumamosi , 7th Dec , 2019

Mapema siku ya leo Disemba 7, 2019, zilitoka taarifa za msiba kwa aliyekuwa mdogo wake muigizaji Steven Kanumba aitwaye Seth Bosco, ambaye amefariki kutokana na kusumbuliwa na uti wa mgongo.

Picha ya marehemu Seth Bosco

EATV & EA Radio Digital imempata msemaji wa chama cha waigizaji aitwaye Masoud Kaftan, ambaye ameeleza chanzo cha kifo chake na taarifa kamili kuhusu siku ya mazishi ya Seth Bosco.

"Marehemu alikuwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye uti wa mgongo,  kabla ya kufariki alienda hospitali ya Muhimbili kisha akarudi nyumbani, ila kuanzia mida ya saa 12:00 jioni akaanza kupata baridi kali, kujisikia vibaya  ilivyofika usiku saa 4:00 au 5:00 akaanza kubadilika na ilivyofika saa 6:00 usiku akakata roho" ameeleza msemaji wa waigizaji Masoud Kaftan.

"Msiba upo nyumbani kwa Mama wa marehemu Kimara Temboni, sasa hivi tupo katika mipangilio ya vikao, lengo tulikuwa tunaomba tukamzikie katika makaburi ya Kinondoni siku ya Jumatatu Disemba 9, kuanzia mida ya saa 8:00 mchana hadi saa 10:00 jioni,  tuwe tumeshamstiri" ameongeza. 
 

HABARI ZAIDI

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA