Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Hamisa Mobetto avunja ukimya, msikie alichosema

Jumamosi , 24th Oct , 2020

Msanii wa BongoFleva na filamu, Video Vixen, Mjasiriamali Hamisa Mobetto amevunja ukimya kwa kusema yeye sio mtu wa kukata tamaa kwani anaamini kwenye ndoto zake na ukisikiliza watu wanavyosema hutofika.

Msanii Hamisa Mobetto

Hamisa Mobetto amejibu hilo kwenye show ya Friday Night Live ya East Africa TV baada ya  watu kumkosoa kwamba hawezi kuimba.

"Mimi ni mtu ambaye huwa sikati tamaa, huwa naamini katika 'vision' yangu mwenyewe, naamini ndoto zako ni za kwako ambazo umepewa na Mungu, kwenye haya maisha ukisikiliza watu wanachosema hutofika, kama ulipangiwa kufika sehemu fulani utafika tu hata kama iwe vipi" amesema Hamisa Mobetto

Aidha Hamisa Mobetto alizungumzia sababu za kuachana na meneja wake wa zamani Max Rioba ambapo amesema "Kwenye biashara na kazi kuna mikataba, kuna kazi na malengo pia, mimi na Max Rioba tuko poa kama kaka na rafiki. Kwenye maisha kila lenye mwanzo lina mwisho, kama unataka kupanuka zaidi, yeye ni muelewa na mimi pia hivyo maisha yanaendelea

Zaidi tazama hapa chini.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava