Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Harmonize avunja ukimya, amvaa mazima muhusika

Jumanne , 16th Feb , 2021

Ni 'headlines' za sakata la video ambazo zimeonesha msanii wa kiume na mtoto wa staa wa filamu Kajala Masanja na P-Funk Majani aitwaye 'Paulah Kajala' wakiwa wana-kiss kwenye gari ambapo Harmonize amevunja ukimya na kuhoji kwa alichokifanya msanii huyo.

Picha kubwa ni Kajala Masanja na Harmonize, picha ndogo ni Paulah Kajala mtoto wa P-Funk Majani na Kajala

Kupitia 'Insta Post' yake msanii Harmonize ameandika ujumbe mzito unaohusu sakata hilo juu ya msanii huyo kumrekodi video Paulah Kajala ambaye bado ni mwanafunzi.

"Ulipata wapi ujasiri huu wa kutembea na mwanafunzi wa kidato cha (5) wakati ni wazi kwamba ni kosa la jinai na hukumu yake sio chini ya miaka 30, lakini pia isitoshe una-record video ukiwa una-kiss unaonesha kwamba Serikali haiwezi kukufanya kitu, nawaza lengo lilikuwa ni kuonesha upo juu ya sheria ama

"Hebu angalia 'future' ya mtoto wa watu umeiweka wapi kwa tamaa za siku 1, kama kweli mlikuwa mnapendana mpo 'in love' video ilikuwa na haja gani na lengo la kuvujisha ni nini, lakini pia Serikali  itajiuliza una videos ngapi za watoto wa shule kama umeweza kuwa na hii ukaivujisha" ameandika Harmonize 

Zaidi tazama hapa chini kwenye video akizungumzia suala hilo.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava