Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kim Kardashian, Katy Perry wafunga FB na Instagram

Alhamisi , 17th Sep , 2020

Mwanamitindo maarufu nchini Marekani Kim Kardashian ametangaza kufunga akaunti zake za mitandao ya kijamii ya Instagram na Facebook kwa sababu ya maneno ya chuki yanayosambaa mitandaoni. 

Kim Kardashian upande wa kushoto, kulia ni Katy Perry

Taarifa hiyo ya kufunga akaunti zake ametangaza kwenye mtandao wa Twitter ambapo ameandiaka kuwa 

"Siwezi kukaa kimya wakati mitandao ikiendelea kuridhia kusambaza kwa habari za chuki, propaganda na taarifa zisizosahihi zilizizoandaliwa na makundi yanayotaka kuingawa Marekani"

Hatua hiyo ni sehemu ya Kampeni za kupinga chuki inayojulikana kama waache chuki kwa faida 'Stop hate for profit' ambayo imeandaliwa na wanaharakati wa haki za Raia, pia Katy Perry ameunga mkono  uamuzi huo wa Kim Kardashian kuhusu maneno yanayosambaa mitandaoni.

Aidha muanzilishi wa mtandao wa Facebook Mark Zuckerberg amesema kuwa watapiga marufuku matangazo yaliyo na madai ya aina hiyo na kuongeza kuwa tayari wamejiandaa kukabiliana na hali hiyo kabla ya kufikia uchaguzi.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine