Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Majani afunguka kuachana na muziki

Jumatatu , 29th Mei , 2017

Mkongwe katika utayarishaji wa muziki bongo, P. Funk Majani ameweka wazi chanzo cha kupumzika kwa muda mrefu katika uandaaji wa muziki wa bongo fleva ni maslahi madogo ambayo hayakuwa na manufaa kwenye maisha yake.

Majani amefunguka hayo kwa mara ya kwanza ndani ya Planet Bongo ya East Africa radio na kusema kwamba alilazimika kuachana na muziki baada ya kuona anatumia nguvu nyingi huku watu wengi wakitajirika kupitia nguvu zake huku yeye akibaki mtupu.

"Niliacha kutengeneza muziki kwa muda kidogo kwa sababu nilijikuta na control industry nzima ya muziki  alafu pesa sipati, maisha yangu yakawa hayabadiliki, Kujenga nyumba ilikuwa tunachukua miaka na miaka kuzimalizia kwa sababu hela ni za kuunga unga hapo hapo unaona wenzako wanapiga pesa ndefu ikabidi nifanye uamuzi wa kupumzika niangalie kipi cha kufanya - alifunguka Majani.

Hata hivyo Majani baada ya kurudi kwenye game amesema kwamba ujio wake atashirikisha wasanii wachache sana kwenye kufanya nao kazi huku akibainisha kwamba mpaka sasa tayari ana wasanii wasiozidi saba anaofanya nao kazi.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali