Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Majibu ya Dimpoz kwa TID, kwamba hajui kuimba

Jumapili , 24th Nov , 2019

Msanii Ommy Dimpoz amesema hana uhakika na kile alichokipost msanii TID, baada ya kumuorodhesha katika oroddha ya wasanii watano wabovu wa Bongo Fleva ambapo TID  alimuweka Ommy Dimpoz nafasi ya pili.

Msanii wa BongoFleva Ommy Dimpoz

Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital Ommy Dimpoz amesema hana uhakika kama ni TID kama ndiyo alipost kweli  katika mtandao wa kijamii wa Twitter, 

"Kwanza mimi sipo Twitter kwa sababu akaunti yangu watu waliidukua taKribani mwaka sasa ila naishughulikia kuirudisha, Pili nilitumiwa tu hiyo "list" lakini mwisho wa siku sina uhakika kama ni TID mwenyewe, hata kama yeye ni kaka yetu kila mtu ana maoni yake na mtazamo wake" amesema 

"Mwisho wa siku tupo katika nchi ya huru kila mtu anaweza kujisikia kwa kile anachokifanya, nilichukulia kawaida tu ila kwangu mimi ukiniuliza kuhusu TID nitakwambia ni mmoja wa wasanii bora waliowahi kutokea kwenye BongoFleva" ameongeza 

Aidha Ommy Dimpoz amewajibu waliombeza kwamba hajastahili kuchukua tuzo za AFRIMMA kama msanii bora wa kiume Afrika Mashariki kwa kusema, "Mimi niliwekwa katika category, nikaomba kura kwa sababu walioniweka waliona nastahili kwahiyo hizo zote nichangamoto tu kwangu hakuna jipya" 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava