Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Makonda ampa milioni 5 mama yake Godzilla

Jumamosi , 16th Feb , 2019

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, ameahidi kutoa pesa kiasi cha milioni 5 ili kumsaidia mama mzazi wa msanii Godzilla, kuendeleza biashara aliyokusudia kuianzisha.

Akizungumza mbele ya waombolezaji waliofika kutoa heshima zao za mwisho kwa Godzilla, Makonda amesema kwamba aliambiwa kuwa marehemu alikuwa na ndoto kubwa ya kumsaidia mama yake kiuchumi na kumpa kiasi cha pesa ili afungue duka la madawa, lakini alitumia pesa hiyo kumuuguza alipokuwa akiumwa.

"Nimeambiwa kuwa marehemu alikuwa na ndoto kubwa ya kumsaidia kiuchumi mama yake, na alitoa kiasi cha pesa ili afungue duka la madawa, lakini pesa hiyo ilitumika katika kumuuguza Godzilla, hivyo mimi nitatoa milioni tano siku ya Jumatano, ili kumsaidia mama kiuchumi na kumsaidia kutunza wajukuu alioachiwa", amesema Paul Makonda.

Ikumbukwe kwamba Godzilla ndiye alikuw ategemeo kubwa kwa familia yake, hivyo kifo chake kimeipa wakati mgumu zaidi.

HABARI ZAIDI

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji