Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mambo sita kuhusu Wema Sepetu kutimiza miaka 30

Jumatatu , 28th Sep , 2020

Msanii na nyota wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu siku ya leo Septemba 29 anatimiza miaka 30, ambapo kupitia instagram yake amepost picha mbalimbali zikimuonesha kujipongeza, haya hapa ni mambo sita ya kufahamu kuhusu siku yake hii muhimu ya kuzaliwa.

Msanii wa filamu Wema Sepetu

1. Wafuasi 'followers' wengi instagram

Wema Sepetu ndiye msanii wakike mwenye wafuasi wengi kuzidi wasanii wengi wa kike Bongo ambapo ana followers milioni 7.7 huku akiwa ame-follow watu 515, hii inatokana umaarufu wake na kupendwa na watu wengi.

2 .Miss Tanzania 2006

Wema Sepetu alivishwa taji hilo mwaka 2006 baada ya kuwashinda warembo kama Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo, na Lisa Jensen ambao walifika tatu bora katika kumtafuta mrembo bora Tanzania.

3. Tuzo ya msanii bora wa kike 

Wema  amewahi kuchukua tuzo ya sinema zetu April 2018, aliipata tuzo hiyo kupitia kinyanganyiro cha 'Peoples Choice' wakati wa kumchagua muigizaji bora wa kike na kuwashinda waigizaji kama Riyama Ally na Rachel Kayuga.

4.Orodha ya wapenzi aliowahi kutoka nao

Inasemekana kuwa Wema Sepetu ni miongoni mwa msanii wa kike ambaye amewahi kutoka na wasanii maarufu nchini kama vile Marehemu Steven Kanumba, Idris Sultan, Bob Junior, Mr. Blue, TID, Calisah  na wengine wengi na baadae kuachana nao.

5. Kukosa mtoto 

Moja kati ya vitu vinavyomtesa Wema Sepetu ni kukosa mtoto na kwa bahati mbaya sana watu wengi wamekuwa wakitumia udhaifu huo kumshambulia mitandaoni ila binafsi anaamini ipo siku atapata mtoto wake mwenyewe na kumlea.

6. Kupunguza mwili 

Watu wamekuwa wakimuhukumu kuhusu muonekano wake wa sasa ambapo wanasema anachukiza, amepoteza mvuto na kuonekana kama amekonda baada ya kufanya surgery ya kupunguza baadhi ya nyamanyama za mwili wake ambazo zilikuwa zinamfanya aonekane ana mwili mkubwa.

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90