Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mlezi wa Amber Rutty aomba msaada kwa watanzania

Jumatano , 30th Sep , 2020

Mchungaji Daudi Mashimo ambaye ni mlezi wa msanii Amber Rutty amesema anaomba msaada wa watanzania ili kuwachangia Amber Rutty na mumewe Said Aboubakar ambao wapo gereza la Segerea.

Mchungaji Daudi Mashimo na Amber Rutty

Akizungumza na EATV & EA Radio Digital, Mchungaji Mashimo  amesema alijitolea kuwadhamini Amber Rutty na mumewe kwa mara kwanza ila kwa kuwa hukumu iliyotoka sasa hivi ni kubwa hawezi  kuimudu peke yake ndiyo maana anaomba msaada.

"Nilivyowatoa mara ya kwanza niliwashauri na walikubali kubadilika hivyo wakaamua kujitenga na mambo yao ndiyo maana nimeamua kusimama tena kujaribu kutafuta njia ya kuwalipia faini ili kutoka gerezani, wale ni watu ambao wanastahili msaada tusiangalie ya nyuma kwani yameshapita" ameeleza Mchungaji Daudi Mashimo 

Aidha Mchungaji huyo ameongeza kuwa "Nawaomba watanzania wenyewe moyo wa upendo na furaha kama ikiwapendeza tuwalipie faini ili watoke gerezani na sio lazima hiyo pesa mnipe mimi, mnaweza mkaenda hata Mahakamani mkatoa hiyo pesa ili atoke

Siku ya Septemba 25, ilitoka hukumu ya kifungo cha miaka mitano jela na faini ya milioni 3 kwa kila mmoja kasoro James Delicious ambaye alihukumiwa miaka mitano na faini ya milioni 5.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto