Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

'Mtu akinifanyia ubaya nalipiza kisasi' - Mwana FA

Ijumaa , 23rd Aug , 2019

Msanii wa HipHop na mfanyabiashara Mwana Fa amefunguka suala zima la kulipiza kisasi, kwa mtu aliyemkosea na ishu za uwezo na bahati katika maisha.

Msanii Mwana FA

Mwana Fa amezungumza hayo leo kupitia EATV & EA Radio Digital, baada ya kusema kulipiza kisasi ni imani ya mtu,

"Huwa nawapanga watu kwenye makundi nikigundua tunaishi vizuri nakuweka juu kama hatuwezani nakufungia vioo. Siwezi ku-deal na mtu asiye na maarifa, pia kila visasi vyangu ni kwa watu walionikosea kama nipo katika nafasi  nita-deal nao tu, ila wakati mwingine wanasema kisasi ni chakula kizuri kukiacha kwa muda, baadae nakuja kukukata kichwa".

Aidha msanii huyo amezungumzia suala la kuweza na bahati katika maisha, ambapo amesema huwa anaamini katika kuweza kwa sababu ni kitu cha kudumu na mtu anatakiwa akifanye kwa uwezo, ufundi na ujuzi.

Pia ameendela kusema bahati ni muhimu sana katika maisha kwa sababu anaamini kuna watu wanaweza sana ila hawana bahati hivyo hupata wakati mgumu kwenye maisha yao.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava