Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mwakyembe aeleza ugonjwa wake kwa Harmonize

Jumatatu , 16th Mar , 2020

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr Harrison Mwakyembe, amesema ana tatizo la  ugonjwa na msanii Harmonize kwa sababu kila anachokitoa kwake anakiona ni kizuri na anakifurahia.

Kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe, kuli ni msanii Harmonize

Akizungumza  mbele ya  waandishi wa habari katika uzinduzi wa album ya Harmonize iitwayo "Afro East" Dr Harrison Mwakyembe amesema Harmonize ni msanii bora ambaye ameleta mapinduzi, pia amewataka wasanii watunge nyimbo ya kutahadahrisha wananchi kuhusu ugonjwa wa Corona.

"Nimefurahi  sana halafu nina tatizo moja la ugonjwa kwamba kila anachokitoa Harmonize ni kizuri na nakifurahia ndiyo maana ni mmoja wa wasanii bora hapa nchini, kumetokea mapinduzi makubwa ya kimuziki kwa miaka 10 iliyopita" amesema Dr Harrison Mwakyembe 

Pia ameongeza kusema "Ila kinachoniuma tuna kumbi mbalimbali lakini hatuna ukumbi maalum kwa ajili ya muziki, ndiyo maana sisi tumeamua ndani ya wizara kuanzia mwezi Aprili tutaanza ujenzi wa ukumbi ambao utachukua watu elfu 50, 40, 30 kwa hapa Dar Es Salaam
 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto