Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Nay wa Mitego ni mtoto mdogo tu hajui" - Mlela

Jumatatu , 14th Oct , 2019

EATV & EA Radio Digital, imepiga stori na msanii wa filamu Yusuph Mlela, ambaye amefunguka kuhusu mastaa kudanganya umri, pamoja na suala la Nay Wa Mitego kuwachana baadhi ya wasanii ambao wanatembea na mabaunsa.

Yusuph Mlela na Nay wa Mitego

Yusuph Mlela amesema hayo baada ya kuweka wazi umri wake, wakati alipokuwa anafikisha miaka 33 ya kuzaliwa kwake siku ya Oktoba 10, 2019.

"Nafikisha miaka 33 kamili kwa sababu utu uzima ukiingia haupaswi,  muda ukishafika halafu ukishakuwa mtu mzima haina shida lazima useme ukweli", amesema Mlela.

Aidha akizungumzia kuhusu msanii Nay wa Mitego kuwachana wasanii ambao hawana hadhi na pesa ila wanatembea na ulinzi wa mabaunsa, Mlela amesema,

"Nay wa Mitego ni mtoto mdogo tu kwangu mimi, hajui anachokiongea yeye ni mtu wa kuongea ongea tu kwahiyo siwezi kumuongelea sana ila suala la usalama ni muhimu ukishafikia hatua fulani ya maisha lazima uwe na ulinzi, ambapo wataweza kukuangalia na kukuongoza ni mbuzi tu hata aki-diss sina wasiwasi naye".

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto