Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Pacha wa Harmonize ajitokeza Mbagala

Jumanne , 20th Oct , 2020

Msanii Followzee kutoka Mbagala Jijini Dar Es Salaam amesema anasikia raha sana watu kumfananisha na kuitwa pacha wa Harmonize kwani msanii huyo mmoja wa wasanii wakubwa kwa sasa Tanzania.

Pacha wa Harmonize kwenye picha kubwa, picha ndogo ni msanii Harmonize

Followzee amesema yeye ni mwanafamilia wa lebo ya Konde Gang ambayo anaimiliki Harmonize japo hawaishi pamoja wala hawana undugu, ila ni mwanafamilia kwa sababu wanashea kabila moja la Kimakonde na wanatokea Mkoa mmoja wa Mtwara. 

Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital Followzee amesema "Mimi sio chawa wala mdananda wa Harmonize, huu ndiyo mtindo wangu wa nywele sio kama namuiga kuna muda huwa nasuka pia nazipaka rangi, sijiiti bali wananiita pacha wa Harmonize na nafananishwa naye, wengi wananiita Konde Boy Jeshi au Tembo na ndiyo majina ambayo anayotumia Harmonize mwenyewe

"Kwangu ni furaha kufananishwa na Harmonize naona ni kitu kikubwa, sidhani kama anajua kama nafananishwa naye ila naamini ananijua kwani tumeshaonana sehemu nyingi ila hatujawahi kukaa na kuongea" ameongeza

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava