Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Shamsa Ford aacha wosia mzito 

Jumamosi , 17th Oct , 2020

Msanii wa filamu Shamsa Ford amechia ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram kwa kuwataka mashabiki wasipende kuwahukumu watu maarufu kwa makosa yao kwani nao ni binaadam wanapitiwa kama inavyotokea kwa watu wengine.

Msanii wa filamu Shamsa Ford

Shamsa Ford amesema kuna watu wakiwaona mastaa mitandaoni wanahisi ni tofauti na walivyo wao ndiyo maana wanawakuhumiwa  kwa kuwashambulia na matusi pale wanapokosea.

"Wengine wakituona kwenye mitandao wanatuhukumu tofauti, sisi ni binadamu kama nyie saa nyingine tunapitiwa kama binadamu wengine kwasababu hakuna mwanadamu aliyekamilika zaidi ya  Mungu ila maisha yetu pia huwa tunaishi kwa kumtegemea Mwenyezi Mungu, tusijisahau sana na dunia

"Kulikuwa na matajiri wengi, wazuri wengi, watu maarufu wengi lakini leo hii hatupo nao duniani, tuishi kwa kuthaminiana epuka kumuumiza mwanadamu mwenzio kwa makusudi sisi sote si chochote mbele ya Mwenyezi Mungu" ameongeza 

Aidha msanii huyo amesema amekaa kimya na kudhalilishwa vya kutosha hivyo atatangaza siku ya kuwa na mkutano na waandishi wa habari ili kuzungumzia ukweli wote yanaondelea dhidi yake.

HABARI ZAIDI

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali

Daktari wa GGML aliyebobea katika magonjwa yatokanayo na kazi, Cretus Karwan akimpatia vipimo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la GGML na kupatiwa huduma za awali za upimaji wa afya katika maonesho ya OSHA yanayoendelea jijini Arusha.

Wananchi 200 wapimwa afya maonesho ya OSHA

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Tumaini Nyamhoka akipokea zawadi kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa masuala ya jamii na maendeleo ya kiuchumi kutoka GGML, Ruth Mharagi alipotembelea banda la GGML katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi jijini Arusha.

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu