Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Shetani alitaka kuniyumbisha" - Muna Love

Jumanne , 17th Mar , 2020

Mtumishi wa Mungu Muna Love ameiambia EATV & EA Radio Digital, kwamba tukio lake la kutangaza kujitoa mitandaoni na taarifa za kubadilisha dini na kuolewa na Muisilam lilikuwa ni lakupitiwa na shetani.

Picha ya Muna Love

 

Muna Love amesema wakati anatangaza kujitoa mitandaoni kisha kurejea baada ya siku mbili, alikuwa anajaribiwa na shetani ambaye alikuwa anamdanganya na kumyumbisha lakini amemshindwa.

"Suala la kujitoa mitandoni niliona shetani alikuwa anataka kuniyumbisha na kunidanganya, nikaona hapana acha nimuaibishe yeye nirudi, naweza kuishi bila mitandao lakini mwisho wa siku ina faida na mimi kwenye kutangaza biashara zangu" ameeleza Muna Love.

Aidha akizungumzia tukio la kubadilisha dini na kuolewa na ndoa ya kiislam, amesema, "Kwenye suala hilo nitakuja kuongea na waandishi wa habari  ili kuwaeleza ukweli wa tukio hilo na waliyoyaona, lakini wakae wakijua mimi ni mwanamke kuolewa na kujifungua watoto ni haki yangu, wakati wa Mungu ni wakati sahihi".

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine