Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Sitaki kuburuzwa, iwe tabu mjini" - Mtambalike

Ijumaa , 1st Nov , 2019

Msanii wa filamu Single Mtambalike, amesema yeye sio mtu wa kiki kama walivyo wasanii wengine pia hataki kuburuzwa na wananchi kwa wanavyotaka wao kwenye kazi zake.

Msanii wa filamu Single Mtambalike

Akipiga stori  na EATV & EA Radio Digital, Single Mtambalike ameeleza kuwa tangu amechukua tuzo yupo kimya sio mtu wa kupiga kelele kama wasanii wanavyofanya  na hataki kuburuzwa na style zinazokuja.

"Ukisikia mtu amefanya kitu halafu anasema hivi na vile kama kuahidi vitu vinavyokuja halafu inakuwa kimya hamna kitu, lakini mimi tangu nimechukua tuzo nimekuwa hivi hivi na nimetoa filamu na tamthilia nipo hivi hivi kwa hiyo sitaki kuburuzwa na style zinazokuja hapa katikati nikazifuata halafu nikapoteza muelekeo wangu  " ameeeleza.

"Sitaki kufanya kitu na kuwaachia wananchi na sio kwamba nimechukua tuzo Nigeria iwe tabu mjini hapana" ameongeza.

Aidha Single Mtambalike amesema ili filamu ikamilike lazima izingatiwe vitu kama hadithi, "perfomance" ya watu, upigaji picha na sauti kwa ujumla hiyo ndiyo itakuwa filamu iliyotimia na zitapimwa na watazamaji.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava