Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Steve Nyerere amvaa Irene Uwoya

Jumatano , 20th Feb , 2019

Muigizaji wa filamu asiyeishiwa matukio mjini, Steve Nyerere amemvaa Irene Uwoya baada ya ku'post' picha ya mwanadada huyo iliyoonesha utofauti na kuandika ujumbe ulioacha maswali kwa watu wengi mtandaoni.

Kushoto ni Steve Nyerere pamoja na picha alizoziunganisha za Irene Uwoya.

Steve Nyerere ame'post' picha ya Irene Uwoya akiwa amefanya make up na nyingine akiwa hana make up na kusema kuwa ameingalia picha hiyo zaidi ya mara kadhaa na amekosa jibu.

Steve Nyerere ameandika “DAAAAAAAAAA Hiiiiiiiii LAST MINUTE. Walahi nimekuangalia mara 30000000000000000 nimejikuta nasema NO LONG PATISPET″.

Steve Nyerere amekuwa akitumia lugha ya Kingereza kwenye maongezi yake mengi, ambayo imekuwa ikichanganya wengi kutokana na kutumia misamiati ambayo huwa haieleweki kwa wengi kwa namna anavyoitamka na kuzua maswali kwa mashabiki na watu wanaomfuatilia.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava