Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Timbulo amshukia QS Mhonda

Jumanne , 28th Feb , 2017

Msanii Timbulo ameibuka na kuiponda 'label' ya QS Mhonda kuwa haijui jambo lolote kuhusu muziki na kushauri kuwa ni bora waelekeze nguvu zao katika masuala ya ujenzi kwani huko ndiko wanaweza kufanya vizuri.

Timbulo

 

Hayo yameibuka hivi karibuni baada ya wimbo alioshirikiana na Patoranking kutoka nchini Nigeria uliopewa jina la ‘Koku’ kuvuja na kwamba vionjo vile vinavyopatikana kutoka kwa wasanii ambao wanasimamiwa na uongozi huo wa QS.

Kolabo ilifanikishwa na QS Mhonda, jambo lililozua hisia kuwa huenda QS akawa ama amehusika au amemjumuisha Timbulo katika 'label' yake.

“Siyo label ya muziki Tanzania ambayo inafanya hata muziki ambao unatakiwa Tanzania, hawajui chochote kuhusu muziki hiyo ni label ambayo labda wangekuwa wanafanya vitu vingine kama masuala ya ujenzi na vitu vingine kibao ambavyo mkurugenzi amesomea,” amesema Timbulo

Aidha msanii huyo amesema hawezi kuingia QS kwa kuwa hawezi kukuza kipaji alichonacho maana ameona mifano hai kutoka kwa wasanii wake aliyokuwa nao kushindwa kufikia malengo yao na hatimaye kumkimbia sasa.

Kwa upande mwingine Mhonda amekanusha taarifa za kupata barua ya shukrani kutoka kwa aliyekuwa msanii wake Q-Chief. 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava