Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Tunda amlipua tena EX wake

Jumatano , 20th Nov , 2019

Mrembo na Video Vixen Cappuccino Tunda, ameweka wazi ujumbe ambao huwa anatumiwa na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Casto Dickson, kupitia mtandao wa WhatsApp.

Tunda

Tunda ameweka ujumbe huo kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, na ameonekana kukasirishwa na alichokifanya mpenzi wake huyo wa zamani, baada ya kumuongelea kwenye moja ya mahojiano yake. 

Tunda ameandika kuwa "Mimi sio muongeaji na huwa siwezi uswahili kabisa lakini ukiona mpaka nachafua page yangu nakuweka ujue kuna vitu umeshindwa kujiheshimu, huyu kaka sijawahi kuwa na tatizo naye lakini kila kutwa naletewa maneno anayoyaongea kuhusu mimi, wakati kwenye simu yangu halali siku ipite hajanipigia na kuniandikia mesaage" ameandika. 

"Kutwa kupigia watu wangu wa karibu waongee na mimi una hali mbaya, unataka kufa, halafu ukiwa huko unaniongelea ujinga, mtu niliekutengeneza mwenyewe ujulikane leo hii nikuongelee kujibust, unaakili wewe. nakubust navyoongea hivi sema sijali ndiyo nishakuambia sitaki simu zako, sitaki message, tulia kwenye mahusiano yako sahau kuhusu mimi" ameongeza.

Tunda na mpenzi wake huyo wa zamani walikuwa na mahusiano kipindi cha nyuma kabla ya kuachana. Kwa sasa Tunda yupo katika mahusiano na msanii Whozu.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava