Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wasanii wa Singeli waingia kwenye bifu zito

Jumamosi , 16th Dec , 2017

Bifu kubwa linalowahusisha wakali wa mziki wa Singeli Manfongo dhidi ya Sholo Mwamba, Wasowiso na Ivan limechukua sura mpya baada ya Man Fongo kufunguka kuwa ana RB ya Wasowiso.

Manfongo amesema  anamtafuta Wasowiso ambaye amewahi kuwa meneja wake kwa madai ya kumtapeli pesa yake aliyoichukua kwa makubaliano ya kununua vifaa kwaajili ya maboresho ya gari lake lakini hakufanya hivyo na akatokomea na fedha hizo.

Akiongea na eNEWZ ya East Africa Television Manfongo amesema mkwanja aliotapeliwa na Wasowiso ni shilingi laki mbili na nusu (250,000/=).

Manfongo pia amefunguka kumshangaa Director Ivan ambaye amewahi kumlipa takribani shilingi milioni tano na akamtengenezea video ambayo haina ubora ukilinganisha na kiasi cha fedha alichotoa. “Namshanga Ivan amejiingiza kwenye bifu hilo kwani alikuwa hahusiki”, amesema Manfongo.

Manfongo alimalizia kwa kusema  anawashangaa sana wanaomsema kwamba amefulia wakati yeye ndo aliwasaidia mpaka kujulikana kwa jamii ila kwa sasa amejifunza hatarudia makosa aliyoyafanya mwanzo anajipanga upya ndani ya wiki mbili zijazo atatoa nyimbo yake mpya.
 

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90