Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Roma amfungua kinywa Fid Q

Jumanne , 15th Aug , 2017

Rapa Fareed Kubanda 'Fid Q' amefunguka kuhusiana na wimbo mpya wa Roma Mkatoliki 'Zimbabwe' na kudai kuwa msanii huyo amejua kukamata hisia za mashabiki kwa kuimba ukweli uliyomtokea miezi michache iliyopita huku akimsifu ndivyo hip hop unavyotaka.

Akijibu swali la mtangazaji wa kipindi  cha Planet Bongo ya East Africa radio, Fid Q amesema kuwa Zimbabwe ni wimbo uliyokuja kufanya mapinduzi makubwa kwenye 'industry' ya hip hop kwa mwaka 2017 pia kuutaja kuwa huwenda ukawa ndiyo wimbo mkubwa kwa mwaka huu.

"Roma kajua kuteka hisia za mashabiki zake, Zimbabwe ni wimbo mkubwa sana kuwahi kutokea mwaka huu ukizingatia. Umevunja rekodi ndani ya siku moja kwenye Youtube. Alichokifanya Roma ndicho hip hop inachotaka, hakuna mtu ambaye alikuwa hajui kama Roma katekwa na watu walikuwa wakimsubiri kuona anarudi vipi kwa hiyo nampongeza kwa kuwa amezingatia kiu ya mashabiki zake", alisema Fid Q.

Kwa upande mwingine, Fid Q amewataka wasanii kufanya kazi zilizokuwa na ubora na zitazoishi muda mrefu na siyo kukimbilia kolabo za kimataifa ambazo hazitawasaidia kufika mbali kama jinsi wanavyotaka.

Kwa sasa Fid Q anatamba na ngoma mbili alizoziacha ambazo ni 'Ulimi mbili pamoja Fresh'

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava