Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Anachopenda zaidi mwanamke toka kwa mwanaume

Alhamisi , 2nd Aug , 2018

Daktari wa falsafa na mshauri wa masuala ya ndoa nchini Dkt. Ellie  V.D Waminian, ameeleza kuwa  wanawake  hutegemea zaidi furaha kutoka kwa waume zao na wakikosa huduma hiyo,matokeo yake ni kukosa kujiamini.

Akizungumza katika kipindi cha DADAZ kinachorushwa mubashara na East Africa Television kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa saa 5 Asubuhi, Dkt Ellie amesema kuwa mwanamke siku zote hana imani kama anapendwa na tegemeo kuu la mwanamke  ni furaha, na si upendo kama watu wengi wanavyofikiri.

Mwanamke ana mapenzi ila hana upendo, mwanamke hapendi bure bali anapenda kwa mazao, na zao kuu analolitegemea ni furaha na kicheko. Mwanamke anapenda maneno mengi mazuri ndiyo maana anaongea zaidi ya maneno 'maximum' 25,000  kwa siku, na mwanaume 'maximum' yake ni maneno 12,500”. Amesema Dkt. Ellie

Aidha, Dkt Ellie ameongeza kuwa katika mapenzi au upendo  suala la mazoea ni moja ya chanzo cha migogoro katika mahusiano na njia kuu ya kuepuka migogoro ni kuwepo umbali kati ya wapenzi hata kwa muda mfupi wa masaa kadhaa kwa siku na pia kuwepo kujali na kuthaminiana.

Pia kulingana na utafiti wa Daktari na Mshauri  wa Masuala ya Ndoa na Mwakilishi kutoka  taasisi ya Best Life ya New York  nchini Marekani Melissa Divaris Thomposon, imeelezwa kuwa mwanamke hupenda kusikia maneno yafuatayo; 'Unajua kwamba nakupenda, uko sahihi, usiku wa jana ulikuwa mzuri, nakupenda ukiwa hujapaka make- up, ukweli ni kwamba huonekani kuwa mnene, nakupenda jinsi ulivyo, sielewi ila nitajaribu. Maneno kama hayo ndio humfanya mwanamke kuwa na furaha zaidi na kufurahia mahusiano

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava