Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

'House girl' amuingilia mtoto wa miezi 9

Jumanne , 23rd Oct , 2018

Polisi nchini Kenya inamtafuta, Janet Auma ambaye ni dada wa kazi kwa tuhuma za kumjeruhi sehemu za siri mtoto wa bosi wake mwenye umri wa miezi 9.

Janet Auma anatuhumiwa kumuingiza vidole sehemu za siri mtoto huyo na kumjeruhi vibaya, huku akisema kuwa mizimu ya babu yake ndiyo iliyosababisha kufanya kufanya kitendo hicho.

Mama wa mtoto, Benadeta Mukami amesema kwamba alipata taarifa kutoka kwa mtoto wake wa kiume, ambapo alimpigia simu akiwa kazini na kumwambia kuwa mtoto anatokwa na damu sehemu za siri, na kuagiza amtoe pempers.

“Walipomtoa nepi, mtoto wangu wa kiume alinipigia na kunitaka nirudi nyumbani haraka, kwani tatizo lilionekana kuwa ni kubwa, na tukamkimbiza hospitali”, amesema mama wa mtoto huyo, Bi. Bernadeta.

'Walipomaliza kumfanyia vipimo, daktari aliniambia hawajakuta mbegu za kiume lakini sehemu za siri za mtoto zimeingiliwa na kuumizwa”, aliendelea kusimulia mama huyo.

Baada ya mahojiano na msichana huyo alimwambia mjomba wa mtoto kuwa alikuwa anasumbuliwa na mizimu ya babu yake, na alitumia vidole kumuingilia mtoto huyo mwenye miezi 9 mara kadhaa, na hata hivyo alikimbia kabla hajachukuliwa na polisi.

HABARI ZAIDI

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji