Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Majibu ya Calisah kuhusu kusambaza picha za utupu

Jumapili , 10th Mei , 2020

Mwanamitindo na video vixen Calisah amejibu kuhusu picha na video zilizosambaa mitandaoni zikimuonyesha maungo yake yake ya ndani baada ya taulo alilovaa kumdondoka wakati akiinga bafuni.

Mwanamitindo na Video Vixen Calisah

Akizungumza kwenye show ya Friday Night Live ya East Africa TV, Calisah amesema tukio hilo limetokea kwenye mtandao wa Snapchat wakati anaenda kuoga, nia yake ni kumtumia picha mwanamke wake ili kumuaminisha kama kweli anafanya kitendo hicho.

"Majuto ambayo ninayo ni kwa dada yangu au kama ningekuwa na mtoto wa kike ambaye angeiona hii video japo tukio hilo limenitingisha na ni aibu kwa familia yangu, nilikuwa naongea na mwanamke wangu kwenye "face time" nikamwambia acha nikaoge akawa haamini nikamwambia nitakutumia video muda sio mrefu" amesema Calisah

"Sasa mtandao wa Snapchat una sehemu ya kuziweka au kushea ambazo zipo karibu sana, wakati narekodi nilikuwa nataka  niisave na mikono yangu ilikuwa ina maji, kwa bahati nikabonyeza sehemu ya kutuma na kushea ila baadaye nikaifuta" ameongeza

Zaidi tazama kwenye video hapa chini

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava