Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Pacha walioungana mmoja aingia kwenye ndoa

Ijumaa , 29th Mar , 2024

Abigail Loraine Hensel na Brittany Lee Hensel, ni moja kati ya pacha waliopata umaarufu kupitia Tamthilia ya ''Abby & Brittany'' inayorushwa kupitia TLC

Abby and Brittany Hensel

Abigail Loraine Hensel anachukua nafasi muda huu kwenye mitandao ya kijamii na hii ni baada ya kuingia kwenye ndoa na mwanajeshi  mstaafu kutokea Jeshi la Marekani anayefahamika kama Josh Bowling

Abby na dada yake pacha Brittany, Ni pacha walioungana kiwiliwili na viungo vya chini ilikuwa ni ngumu kwa wao kutengenishwa wakiwa wadogo na hii ni kutoka na uwezekano mdogo wa kuishi baada ya kutengenisha na badala yake wazazi kuamini kuwa wanaweza kufikia kwenye malengo yao wakiwa kwenye hali ambayo wako nayo.

Kwa sasa Abby na dada yake pacha Brittany, Ni waalimu wa shule ya msingi kwenye jimbo wanalotokea la Minnesota nchini Marekani.

Chanzo: Wealth

HABARI ZAIDI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa January Makamba

Ziara ya Rais Samia Korea kuanza rasmi Mei 31 2024

Bw. Nazar Nicholas (katikati) akikabiziwa tuzo ya WSIS 2024

Tanzania yashinda Tuzo WSIS 2024, nchini Uswisi

Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).

Hati miliki ardhi za kimila 4,450 kutolewa Mei 29

DCP David Misime, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

Mtoto atekwa na mzazi wake ili ajipatie milioni 20