Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Sababu za Wolper ku-date na wanaume wa nne

Ijumaa , 8th Mei , 2020

Msanii wa filamu Jacqueline Wolper amepiga stori kwenye show ya Dadaz ya East Africa TV na kufunguka mambo mengi ikiwemo mahusiano yake, biashara na kuhama jiji la Dar es Salaam na kuhamia Arusha.

Msanii wa filamu Jacqueline Wolper

Kuhusu ishu za mahusiano yake msanii huyo amesema, kwanza hana tabia ya kuongea wala kurudiana na Ex wake na kwa sasa ana wanaume wanne na atachagua mmoja wa kuwa naye.

"Nina wapenzi kama wanne kwa sasa ila naangalia na kuchagua mmoja mwenye tabia njema ndiyo nitakuwa naye,  ila nipo nao kwa njia ya mawasiliano sio kufanya mapenzi pia sijafanya mapenzi kwa miaka minne sasa nimetulia tu, maana kila siku watu wananipa mabwana wapya" amesema Wolper

"Sinaga tabia ya kurudiana wala kuongea na Ex wangu, na sijawahi kupenda mume wa mtu maana mimi nina wivu na napeda uhuru wa kuwa na mwanaume wangu, siku ambayo nitakuja kumpost Instagram labda awe amenipa mimba au amenioa" ameongeza.

Kama ulikosa kutazama Interview hiyo bonyeza hapa chini

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava