Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kilimanjaro Stars kumkosa mshambuliaji wake

Ijumaa , 8th Dec , 2017

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) Mbaraka Yusuph amepona majeraha ya misuli aliyoyapata kwenye mchezo dhidi ya Libya lakini ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Rwanda.

Taarifa kutoka kwa kocha mkuu wa timu ya Kilimanjaro Stars Ammy Ninje amesema Mbaraka Yusuph amepona lakini bado hajawa sawa kiasi cha kucheza mchezo wa kesho dhidi ya Rwanda.

Kikosi cha Kilimanjaro Stars kimefanya mazoezi ya mwisho jioni hii kwenye uwanja wa Machakos Academy licha ya mvua zinazoendelea kunyesha katika County ya Machakos.

Mchezo huo wa kundi A utachezwa saa 8 mchana kwenye uwanja wa Kenyatta, Machakos ambapo una umuhimu mkubwa kwa Kilimanjaro Stars katika harakati zake za  kuitafuta tiketi ya kucheza hatua ya nusu fainali.

Kilimanjaro Stars ina pointi moja mpaka sasa baada ya kutoka sare na Libya kwenye mchezo wa kwanza kabla ya kufungwa na Zanzibar Heroes kwenye mchezo wake wa pili. Kundi A linaongozwa na  Zanzibar wenye pointi sita wakifuatiwa na wenyeji Kenya wenye pointi nne.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava