Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kocha Micho ahukumiwa miaka mitatu

Alhamisi , 21st Oct , 2021

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Uganda, Milutin “Micho” Sredojevic amekutwa na hatia na mahakama ya Port Elizabeth ya Nchini Afrika ya Kusini na kuhukumiwa kifungo cha miaka mitatu baada ya kukutwa na makossa mawili ya unyanyasaji wa kijinsia.

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Uganda, Milutin “Micho” Sredojevic

Micho aliripotiwa kufanya kosa hilo mwaka jana wakati alipokuwa akiinoa timu ya taifa ya Zambia.

“Mapema asubuhi (juzi Jumanne), mahakama ya Port Elizabeth ilimkuta na hatia kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Zambia, Milutin Sredojevic, katika makosa mawili ya unyanyasaji wa kijinsia,” ilifichua taarifa ya Mamlaka ya Taifa ya Mashtaka (NPA).

Hukumu ya kifungo cha miaka mitatu inaweza kugeuka na kuwa cha miaka mitano kama atafanya kosa jingine la aina hiyo.

Tukio hilo lilitokea Desemba 2020 katika michuano iliyofanyika katika mji wa Gqeberha, Afrika Kusini ambao zamani ulifahamika kama Port Elizabeth.

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 39 alikuwa akifanya kazi ya kugawa kahawa uwanjani hapo, ndipo alipomuuliza Micho kama atahitaji sukari kwenye kahawa yake, ambapo Mserbia huyo alisema “hapana na kisha kuongeza kwamba anataka sukari ya aina nyingine, akionyesha kidole kwenye sehemu za siri za mwanamke huyo,” ilibainisha NPA.

Baadaye siku hiyo hiyo, alipoletewa kahawa Sredojevic alimshika mdada huyo maeneo yake ya siri

HABARI ZAIDI

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari

Picha ya Diddy na Cassie enzi za mahusiano yake

Diddy aomba msamaha kumshambulia EX wake Cassie

Rais wa Iran Ebrahim Raisi

Rais wa Iran afariki kwa ajali ya Helikopta

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,

China yaahidi kuendelea kufadhili miradi Tanzania

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu