Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mchenga, TMT tambo zaongezeka

Jumatano , 9th Aug , 2017

Wakati joto la fainali ya michuano ya mpira wa kikapu ya Sprite BBall Kings likiendelea kupanda tambo zimeendelea kuchukua nafasi yake kwa timu zitakazokutana siku ya Jumapili katika uwanja wa Don Bosco, ambazo ni mchenga Bball stars na TMT

 Nahodha wa TMT Isihaka Masoud amesema wamejiandaa kumaliza fainali mapema ndani ya mechi tatu za kwanza ili kuepuka gharama na usumbufu kwa mashabiki ambao watajitokeza kushuhudia mpambano wao.

"Sisi tumeshajiandaa na hatuitaji gharama zaidi kwa sababu kwenda kila siku uwanjani ni gharama ukizingatia pia tuna mambo megine ya kufanya kwa hiyo game tatu tu zitatutosha kumaliza mchezo," Nahodha wa TMT Isihaka Masoud

Kwa upande wake nahodha msaidizi wa Mchenga B Ball Stars, Amini Mkosa amesema timu yao imejiandaa kuzoa shilingi milioni kumi mapema huku akiwataka wadhamini wa michuano kuwakabidhi mapema TMT kitita chao cha milioni tatu.

"Sisi tungewashauri tu Sprite wawapatie kabisa TMT milioni tatu zao halafu watangaze kuwa Mchenga wameshinda milioni 10 kwani sisi mchezo tutaumaliza mapema sana na kama watataka tucheze 'game' tano tunawakaribisha kufanya biashara"  Nahodha msaidizi wa Mchenga B Ball Stars Amini Mkosa

Mechi ya kwanza kati ya tano zitakazochezwa katika fainali ya Sprite BBall Kings 2017 itapigwa siku ya Jumapili kuanzia saa kumi jioni katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay. 

Wasikilize hapa chini,

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90