Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Rekodi mbaya ya Aguero kuikwamisha Man City ?

Jumapili , 10th Nov , 2019

Kuelekea mchezo wa Ligi Kuu soka nchini England kati ya Vinara wa ligi Liverpool dhidi ya Manchester City, wanaoshika nafasi ya tatu utakaopigwa usiku wa leo Novemba 10, 2019, haya ni mambo kadhaa ya kuyajua.

Sergio Kun Aguero na Pep Guardiola

Licha ya umahiri wake wa kupasia nyavu, Sergio Aguero ambaye pia ni mfungaji wa muda wote wa Man City, hajafanikiwa kupata goli katika mechi 7 alizocheza kwenye uwanja wa Anifield.

Tofauti na mechi 7 alizocheza dhidi ya Liverpool kwenye uwanja wa Etihad ambapo amefunga magoli 7, kwa maana ya goli 1 kila mchezo.

Kwa upande mwingine Liverpool ina rekodi nzuri zaidi inapocheza na Bingwa mtetezi wa Ligi kuu ya England ambapo ndiyo timu iliyoshinda mara nyingi zaidi inapokuna na bingwa. Imeshinda mechi 21.

Kwasasa kiungo wa Liverpool Fabinho, ndio anaongoza kwa kumiliki zaidi mpira akiwa na wastani wa Jumla ya 245, kwenye Ligi kuu pamoja na Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Manchester City inamkosa mlinda mlango wake namba moja Ederson Moraes ambaye ni majeruhi, hivyo Claudio Bravo atakuwa na dhamana ya kusimama langoni.

Liverpool ina pointi 31 kileleni baada ya mechi 11, ikiwa katika nafasi ya kwanza wakati Man City ambao ni mabingwa watetezi wana pointi 25 katika mechi 11 wakiwa nafasi ya 4.

Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa 1:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava