Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Ruvu Shooting kuumana na Mtibwa Sugar, leo jioni

Ijumaa , 14th Jan , 2022

Raundi ya 12 ya Ligi kuu soka Tanznaia bara inaanza kutimua vumbi leo kwa mchezo mmoja, amapo Ruvu Shooting watakuwa wenyeji wa Mtibwa Sugar katika Simba la Mabatini mkoani Pwani Saa 10:00 Jioni.

Mshambuliaji wa Mtibwa Salum Kihimbwa akipiga mkwaju wa penati kwenye mchezo wa Ligi dhidi ya Coastal Union

Wenyeji Ruvu Shooting wanaingia kwenye mchezo wa jioni ya leo wakiwa hawajashinda mchezo hata mmoja kwenye michezo 4 ya mwisho ya Ligi Iliyopita, wamefungwa michezo 3 na wametoka sare mchezo mmoja lakini pia wanarejea kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Mabatini baada ya kucheza michezo 3 mfululizo ya ugenini.

Kwa upande wa Mtibwa Sugar, kwa mara ya kwanza kikosi hicho kitaongozwa na kocha Salum Shaaban Mayanga ambaye kajiunga na kikosi hicho akitokea Tanzania Prisons. Na kikosi hicho kimeshinda michezo 2 sare michezo 2 na kimefungwa mchezo mmoja kwenye michezo 5 ya mwisho ya Ligi.

Timu hizi zina alama sawa kwenye msimamo wa Ligi zote zikiwa na alama 10 kwenye michezo 11, Mtibwa Sugar wapo nafasi ya 13 juu ya Ruvu Shooting ambao wapo nafasi ya 14, Mtibwa wakiwa na faida ya kufungwa mabao machache ukilinganisha na Ruvu Shooting.  

 

 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto