Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Simba na Mbeya city zagawana alama sokoine

Jumatano , 23rd Nov , 2022

Dakika 90 za mechi ya Mbeya City imemalizika kwa timu hizo kutoa sare ya bao 1-1 huku mabao ya Mzamiru Yassin (Simba) na Tariq Seif yakitosha kumaliza mtanange huo.

Licha  ya kiungo Mzamiru Yassin kufunga bao la kuongoza mbele ya Mbeya City ngoma ilikuwa nzito kwa timu hiyo kuvuna pointi tatu.

Bao la utangulizi lilifungwa dakika ya 14 na kuwafanya Simba kwenda mapumziko wakiwa wanaongoza kwa bao 1-0.

Ngoma ilipinduka kipindi cha pili ambapo kasi ya Mbeya City ilikuwa kubwa mwanzo mwisho kuikabili Simba.

Umakini hafifu wa safu ya ushambuliaji, kiungo wa Simba uliwafanya watunguliwe bao dakika ya 78 kupitia kwa Tariq Seif.

Sasa Simba ina kibarua kingine kuikabili Polisi Tanzania ukiwa ni mchezo wao wa ligi ugenini chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda.

Hii inakuwa sare ya pili kwa timu hizo katika michezo 15 waliyocheza huku ikiwa ya pili tena kwa Simba msimu huu baada ya kulazimishana bao 1-1 na Singida Big Stars ikiwa ugenini.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa