Picha ya Ally Shatry, Afisa Habari Msaidizi wa Simba Sc
Katika mchezo wa ugenini uliopigwa Botswana wiki iliyopita ‘Wekundu wa Msimbazi’ walitanguliza mguu mmoja katika hatua ha makundi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-0 yaliyofungwa na John Bocco na Tadeo Lwanga.