Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Tanzania, Zambia zakutana tena CHAN, historia yao

Jumanne , 18th Feb , 2020

Droo ya michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN 2020 imepangwa usiku wa jana, Februari 17, 2020 mjini Yaounde nchini Cameroon.

Tanzania na Zambia

Katika droo hiyo, imeshuhudiwa timu 16 zikipangwa katika makundi manne yenye timu nne, ambapo Cameroon ambao ni wenyeji wa michuano hiyo, wakipangwa katika kundi A pamoja na timu za Mali, Burkina Faso na Zimbabwe.

Kundi B likiwa na timu za Libya, DR Congo, Congo Brazzaville, Niger na kundi C likihusisha timu za Morocco, Rwanda, Uganda, Togo.

Taifa Stars ambayo inayoshiriki michuano hiyo kwa mara nyingine ya pili tangu ilipofanya hivyo mwaka 2009 nchini Ivory Coast, imepangwa kundi D pamoja na timu za Zambia, Guinea na Namibia.

Kundi la awamu hii la Taifa Stars linaonekana kuwa ni jepesi kulinganisha na kundi ambalo alipangwa katika CHAN 2009, akipangwa na timu za Senegal, Zambia na wenyeji Ivory Coast. Taifa Stars iliondolewa katika hatua ya makundi baada ya kushinda mechi moja dhidi ya Ivory Coast na kufungwa mechi moja dhidi ya Senegal pamoja na sare moja na Zambia.

Zambia na Tanzania zinakutana tena katika michuano hiyo, hivi sasa timu zote zikiwa na kizazi kingine cha soka. Michuano hiyo itafanyika kuanzia Aprili 4-25, 2020.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa