Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Wachezaji 10 wenye thamani zaidi kwa sasa

Alhamisi , 9th Jan , 2020

Shirika linalojihusisha na utafiti wa mikatba ya wachezaji na thamani zao katika soko la usajili na hadhi za timu la CIES Football observatory, umetoa listi ya wachezaji wenye thamani kubwa zaidi katika soko barani Ulaya.

Uwanja wa soka wa PSG, Parc des Princes

Utafiti wa CIES umemulika zaidi kwa wachezaji wanaocheza  katika ligi kubwa tano bora barani ulaya yaani ligi za England, Hispania, Ujerumani, Italia, na Ufaransa, ambapo thamani za wachezaji hawa zimekadiliwa kwa kuzingatia umri, klabu anayochezea, nafasi anayocheza, ligi anayocheza, urefu wa mkataba katika klabu yake, taifa analotokea lakini pia ni anahitajika na timu za aina gani katika soko la usajili.

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya PSG Kylian Mbappe ametajwa kuwa mchezaji mwenye thamani zaidi barani ulaya akifuatuiiwa na Raheem Sterling wa Manchester city na  na Mohamed Salah wa Liverpool.

Mbappe mwenye miaka 21 ametajwa kuwa na thamani ya pesa za Uingereza pauni million 225, huku Raheem Sterling wa Manchester city na timu ya taifa ya England akishika nafasi ya pili akiwa na thamani ya pauni million 190 nafasi ya tatu ni Mohamed Salah raia wa Misri anaekipiga katika klabu ya Liverpool ya England ametejwa kuwa na tahamani ya pauni million 149.

Mchezaji bora wa Dunia mara 6, Lionel Messi ametejwa kuwa na thamani ya pauni million 107 akiwa katika nafasi ya  8 miongozi mwa wachezaji wenye thamani zaidi katika ligi kubwa tano barani ulaya wakati Cristiano Ronaldo hayupo katika orodha hiyo yenye jumla ya wachezaji 20.

Hii ni orodha ya wachezaji 10 wenye thamani barani ulaya kwa mujibu wa CIES Football observatory, kwa viwango vya pesa ya Uingereza: 1. Kylian Mbappe (£225m), 2. Raheem Sterling (£190m), 3. Mohamed Salah (£149m), 4. Jadon Sancho (£143m), 5.  Sadio Mane (£132m), 6.  Harry Kane (£128m), 7. Marcus Rashford (£114m), 8.  Lionel Messi (£107m), 9. Antoine Griezmann (£105m), 10. Lautaro Martinez (£98m.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto

Picha ya AY kulia na Mr II Sugu kushoto

AY Starring wa muziki wa BongoFlava