Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Yanga haikufundishwa na Zahera, mwenyewe aeleza

Jumatano , 20th Feb , 2019

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amesema alijua leo ndio mwisho wa Mbao FC kuizuia Yanga kupata matokeo kwenye dimba la CCM Kirumba baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.

Mwinyi Zahera

Baada ya mchezo Zahera amekiri kuwa baada ya kufungwa bao dakika za mwisho kipindi cha kwanza, aliwaambia wachezaji wake kuwa wakumbuke leo ndio siku ya mwisho ya kufungwa na Mbao FC.

''Sikujisumbua wakati wa mapumziko kuwaambia wachezaji wangu mapungufu ya Mbao FC badala yake niliwaambia kila mchezaji aseme leo ni mwisho na wakalibeba hilo wakaenda kupata matokeo'', amesema Zahera.

Baada ya ushindi wa leo, Yanga sasa imefikisha pointi 61 kwenye mechi 25 na kuendelea kujikita kileleni kwa tofauti ya pointi 11 dhidi ya Azam FC inayoshika nafasi ya pili.
 
HABARI ZAIDI

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda (Mwenye shati ya Bluu) akipata maelekezo wakati wa maonesho ya OSHA 2024 kwenye Viwanja vya General Tyres jijini Arusha.

RC ataka GGML iboreshe maisha ya wananchi Geita

Vijana Waliojiajiri Sekta ya Kilimo, Nigeria

Mishahara yaongezeka nchini Nigeria

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa