QUICK PROFILES

SHABANI ALLY
+

Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM 

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 4 Nina kaka 1 na dada 2

Ninaishi MB / KONGOWE na WAZAZI WANGU

Mtaani kwangu najulikana kwa DANCE

Mimi nimesoma mpaka FORM 2

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: HAKUNA

BAKARI RAJABU
+

Nimezaliwa mwaka 1993 wilaya ya RUFIJI Mkoa wa PWANI

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 6 nina kaka 2

Ninaishi NYUMBANI na WAZAZI WANGU

Mtaani kwangu najulikana kwa  ------

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA SABA

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi ni: NAMWAGILIA BUSTANI

ABDALLAH JUMA
+

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 5

Ninaishi MBAGALA KONGOWE na WAZAZI WANGU

Mtaani kwangu najulikana kwa KUDANCE

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA NNE

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni HAKUNA ZAIDI YA MZIKI 

YAHAYA WAZIRI
+

Nimezaliwa mwaka 1988 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 2 Nina kaka 1

Ninaishi MBAGALA KONGOWE na WAZAZI WANGU

Mtaani kwangu najulikana kwa KUDANCE

Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA NNE

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: HAKUNA ZAIDI YA KUDANCE

 

 

JAMALI IDRISA
+

Nimezaliwa mwaka 1988 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 3

Ninaishi Nyumbani na WAZAZI WANGU

Mtaani kwangu najulikana kwa KUSHECK

Mimi nimesoma mpaka FORM 0NE

Shughulizangu za kila siku (zaidi ya kucheza dance ) ni: NACHEZESHA POOL TABLE

 

Group Videos

NUSU FAINALI - Dar Crew
 NUSU FAINALI - Dar Crew
Play Video
NUSU FAINALI - Dar Crew

Hawa hapa wazee wa slow motion wakiwafanya yao.

ROBO FAINALI - Dar Crew
 ROBO FAINALI - Dar Crew
Play Video
ROBO FAINALI - Dar Crew

Wenyewe wanajiita wazee wa slow motion. Hapa wanacheza Appologize.