Jumatano , 6th Jul , 2022

Mshereheshaji wa shughuli za mastaa na watu mbalimbali MC Garab amesema pete ya uchumba ya Harmonize na Kajalafrida isipite zaidi ya miezi mitano wawe wameshaona.

Picha ya Harmonize na Kajala

MC Garab ameeleza hilo baada ya wachumba wakishavalishana pete hukaa muda mrefu bila ya kufunga ndoa mpaka pete kuozea kidoleni.

Zaidi mtazame hapa MC Garab akizungumzia hilo.