Akipiga story kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Stereo amesema tayari alishapata namba ya Rapa huyo japo mara kadhaa alizomtafuta hakuweza kufanikiwa hata kuongea naye kwa kuwa zilikuwa hazipokelewi na kusema sasa inabidi atafute njia nyingine ili ndoto yake hiyo iweze kufanikiwa kwani nia yake na dhamira yake bado iko pale pale na anamaanisha.
Msikilize hapa Stereo akisimulia......