Joe Prize
Mwanamuziki wa Injili kutoka Nigeria Joe Prize akiongea na Nirvana kuhusu style yake ya uimbaji, maisha na muziki.
Mary Fashionista
Mwanadada Mary ambae ni mtanzania anayeishi nchini Sweeden akieleza style yake ya mavazi pale alipoialika Nirvana nyumbani kwake
Reel cinema
Deo na Lotus wakiongelea movie ya wiki hii ambayo ni Spider man 2