Submitted by Dickson on Alhamisi , 21st Jan , 2016
Leo kwenye 5Selekt moja kwa moja na Tunda Man si unajua video yake mpya ya mama kijacho sasa ana mengi ya kuongea na wewe kutokana na video hiyo ni kuanzia saa 10:00 jioni hadi saa 12:00 jioni hapa EATV pekee.