Kocha wa timu ya Simba Fadlu Davies amemzungumzia Mshambuliaji mpya wa timu hiyo Elie Mpanzu...
Klabu ya Simba inashida ya uwepo wa Mchezaji anayeweza kucheza kwa kutokea pembeni ambaye anaweza kufunga na kutengeneza magoli.Viungo wa pembeni wa timu ya Simba wanachangamoto ya kutengeneza nafasi Kibu Denis,Radack Chasambi,Edwin Balua,Joshua Mutale wote mchango wao wa kufunga na kutengeneza nafasi umekuwa mdogo msimu huu.
Kocha wa timu ya Simba Fadlu Davies amemzungumzia Mshambuliaji mpya wa timu hiyo Elie Mpanzu...
Klabu za Yanga na Simba zitashuka uwanjani kukipiga ugenini katika michezo ya vilabu Afrika...
Kama ulikuwa unahitaji kufanya mazoezi iwe ni kupunguza mwili au kukaza misuli kwa lengo la...
Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kuwa Kiongozi wa Ngome ya Vijana wa ACT - Wazalendo...
Ruud van Nistelrooy anatarajiwa kutangazwa kuwa Kocha mkuu mpya wa klabu ya Leicester City...
Kipigo hiko kutoka kwa Liverpool kwenye uwanja wa Anfield kumeifanya Madrid kusalia na alama zake 6 baada ya kucheza michezo mitano inashika nafasi ya 24 katika mashindano yenye timu 36. Kikosi cha Los Blancos ndio mabingwa watetezi wa kombe la klabu bingwa barani msimu huu inakutana na wakati mgumu kutokana na kutokuwa kwenye kiwango chake kilichozoeleka katika mashindano ya msimu huu wenye mfumo tofauti na uliozoeleka
Kikosi cha Real FC Madrid siku ya jana kilijikuta kwenye wakati mgumu lilipocheza na timu ya...