Region: 
Simiyu
District: 
Maswa District
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 100 mwaka mzima

Kampeni ya Namthamini ilifanikiwa kufika Wilayani Maswa mkoani Simiyu na kutoa mchango wa taulo za kike kwa wanafunzi 100 wa Shule ya Sekondari ya Binza.