ISIAKA KHAMISI RAMADHANI
Jina La Utani:
B - BOY BOIKI
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUSHAWISHI KUNDI

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 3 Nina kaka 1 na dada 1

Ninaish MABIBO na FAMILIA

Mtaani kwangu najulikana kwa B-BOY BOIKI

Mimi nimesoma mpaka FORM 4

Shughuli zangu za kiloa siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: MPIRA WA MIGUU

 

Mafanikio katika Fani: 
KUFAHAMIKA ZAIDI KUPITIA FANI YANGU
Year: