Nimezaliwa mwaka 2000 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 5 nina kaka 3 na dada 1
Ninaishi ILALA KEKO na UBUNGO
Mtaani kwangu najulikana kwa SUPER THE DON
Mimi nasoma FORM ONE
Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya kucheza dansi) ni KUJISOMEA
Mafanikio katika Fani:
Mafanikio katika kundi yamenisaidia sana kama kupata fedha kununua vitu mbalimbali
Year: