Nimezaliwa mwaka 1999 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 3
Ninaishi ILALA / KEKO na UBUNGO
Mtaani kwangu najulikana kwa YOUNG ACE
Mimi nasoma FORM 3
Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya kucheza dansi) BADO NASOMA
Mafanikio katika Fani:
BADO HATUJAFANIKIWA
Year: