Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 4
Ninaishi KIJITONYAMA na WAZAZI
Mtaani kwangu najulikana kwa 4REAL
Mimi nimesoma mpaka KIDATO CHA 4
Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) MFANYA BIASHARA NDOGO NDOGO
Mafanikio katika Fani:
Imeniwezesha kupata kazi nyingi sehemu za nje na ndani ya nchi na kujisaidia mwenyewe katika kujiendeleza kama kijana wa kitanzania kwakupata ajila ya kila siku kutokana na kazi yako. na tuna miladi ya kila siku ya kikundi kutokana na kazi yetu.
Year: